Saturday, February 9, 2013


Hi!
katika kuadhimisha siku ya kupanda miti kitaifa, TFSA tumeazimia kushiriki zoezi hilo pamoja na watoto wa shule ya msingi ya SUA, lengo hasa likiwa ni kutujengea vijana tabia ya kupanda miti kwa utunzaji wa mazingira.

Pia katika siku hiyo, tumeazimia kuwa na FORESTERS' DAY ambapo wanafunzi pamoja na wadau mbalimbali wa misitu tutakutana pamoja na kujadili changamoto zinazotukumba sisi wanafunzi, na sekta ya Misitu kwa ujumla.

Shukrani ziende kwa watu wanaotupa mawazo ya kujenga na kuboresha na tunakaribisha mawazo mengine pia.

TFSA GS.

No comments: